70164 items (70164 unread) in 18 feeds
![]() |
| HII NI SPECIAL |
![]() |
| NAJUA MWAJUA KUWA VALENTINE INAKARIBIA...HAYA HBHB INAKUPA WASAA WA KUTENGENEZA CAKE YENYE PICHA YAKO WEYE NA MPENZIO ILI MULANE MACHO KWA MACHO KAMA SI MIDOMO KWA MIDOMO |

Mwanamuziki Banarba wa THT. Na www.sufianimafoto.blogspot.com MSANII mahiri katika miondoko ya muziki wa Bongo Flava Barnara, anataraia kuondoka nchini Machi 28, mwaka huu kuelekea nchini Ufaransa kwa ajili ya kurekodi kibao chake kipya kiitwacho 'Tuachane kwa Wema, ambacho atamshirikisha mwanamuziki nyota wa muziki wa Dansi Fally Ipupa. Akizungumza na mtandao huu wa www.sufianimafoto.blogspot.com, Barnaba, alisema kuwa maandalizi yote ya safari hiyo tayari yamekamilika na tayari amekwishapewa 'Apointment' na moja ya Studio za nchini humo tarehe ya kufika na kurekodi wimbo wake huo. Aidha Barnaba alisema kuwa wimbo huo utakuwa ni miongoni mwa nyimbo zake zitakazokuwamo katika albam yake mpya itakayokuwa na jumla ya nyimbo 10, ambayo inatarajia kukamilika mwezi wa sita mwaka huu. ''Unajua katika ndoto zangu za kimuziki nimekuwa na ndoto siku nyingi ya kurekodi na mastaa wa ukweli Duniani, na Fally ni mwanzo tu kwani wapo wengine ambao tayari nimeshawasiliana nao pande za mamtoni ambao tayarikama watatu wamekwisha nithitishia kunipa 'shavu' katika miongoni mwa nyimbo zangu kadhaa ambazo nyingine zitakuwa ni katika albam yangu ijayo baadaya hii. Hata Fally pia alikuwa akitamani kurekodi na mimi tangu nilipo mpagawisha katika moja ya shoo yake alipokuja nchini na kuipenda sauti yangu, kwa hiyo naye nipi ni nafasi yake pekee aliyokuwa akiitamani ambayo amefanikiwa'' alisema Barnaba Barnaba alisema kuwa mbali na wimbo huo lakini pia anatarajia kurekodi video ya wimbo huo, awapo nchini humo iwapo atafanikiwa kumaliza ndani ya muda uliopangwa na mwandaaji wake. Alizitaja baadhi ya nyimbo zitakazokuwa katika albam hiyo kuwa ni pamoja na Gubegube, Sidhani Kama na Roho si Moyo, ambazo zote tayari zimekwisharekodiwa katika Studio za THT.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali (mst) Ernest Mwita Kyaro jijini Mwanza asubuhi ya jana Jauary 6, 2012. Jenerali mstaafu Kyaro, ambaye alikuwa mkuu wa majeshi katika serikali ya awamu ya kwanza, amefurahi na kumshukuru sana Rais Kikwete na mkewe kwa kumtembeleaPicha na IKULU
Waziri wa Fedha Mustapha Mkulo akitoa maelezo ya awali kuhusu maendeleo ya kazi za maadalizi ya sensa ya watu na makazi iliyopangwa kufanyika nchini wakati wa semina kati ya wataalam kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu na wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Fedha na Uchumi iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma,Hata hivyo waziri Mkulo amefafanua kuwa serikali itahakikisha kuwa sensa hiyo inafanyika kama ilivyopangwa kwa ubora na ufanisi ikilinganisha na sensa zilizopita.
Manaibu waziri wa Fedha Gregory Theu (kushoto) na Pereira Silima(kulia) wakifuatilia masuala mbalimbali kuhusu Sensa ya watu na makazi itakayofanyika mwaka huu wakati semina iliyowahusisha wataalam kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu na wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Fedha na Uchumi jana mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Fedha na Uchumi wakifuatilia taarifa mbalimbali kuhusu maandalizi ya sense ya watu na makazi itakayofanyika mwaka walipokutana na wataalam kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu jana mjini Dodoma.
Mkurugenzi mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Sensa Dkt. Albina Chuwa akisisitiza jambo kwa wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Fedha na Uchumi kuhusu zoezi la sensa ya watu litakalofanyika nchi nzima mwezi Agosti mwaka huu jana mjini Dodoma. Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao jana January 6, 2012 walikwenda Ikulu
![]() |
| A man looks inside the car that President Barack Obama's grandmother Sarah was in when it rolled in Kisumu, Kenya, Feb. 4, 2012. (Courtesy Nation Media) |
Ndugu zangu,Mwenye hekima ni yule anayetambua kuwa hajui. Pichani ni leo jioni. Ni tukio la ajali ya magari mawili kukwaruzana kwenye makutano ya Mtaa Livingstone na Mkunguni eneo la Kariakoo. Ajali hii niliishuhudia kwa macho yangu, maana, nilisimama kando ya eneo hilo nikinywa maji ya madafu.

MASHABIKI waliohudhuria burudani katika kituo cha maraha cha Dar Live huko Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam walipata starehe ya kutosha kutoka kwa wanamuziki Juma Kassim ‘Sir Nature’ wa hapa nchini, na Namelesa kutoka Kenya ambapo walitoa makamuzi ya nguvu usiku wa kuamkia leo.
Wanamuziki hao walitoa kauli za kuushukuru umati mkubwa uliojitokeza kwenye onyesho hilo wakisema hawakutegemea Mbagala kuwa na mashabiki wa burudani wengi hivyo.
Shoo hiyo ilisindikizwa na Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’, Mashauzi Classic Band, Wakali Dancers, Zuhura na wasanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya huku washiriki wa shindano la “Cheza, Vaa Imba Kama Rihanna” wakitambulishwa kwa mara ya kwanza katika ukumbi huo. Kama anavyoonekana jukwaani mwanamuziki Nameless akitumbuiza na mmoja wa mashabiki aliyemwita apande jukwaani.
Wadau wa Dar Live Wakiwa kwenye pozi la pamoja.
Wanenguaji na wanamuziki wa FM Academia wakionyesha uwezo wa nyonga zao.
Kundi zima la Wanaume Halisi likiwajibika jukwaani.
Kiongozi wa Mashauzi Classic Band, Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’, akinengua na mpiga gitaa wake.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Zuhura, akipagawisha mashabiki.
Mwanamuziki Ambwene Yesayah ‘AY’, akiwasalimia mashabiki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao leo January 6, 2012 walikwenda Ikulu ndogo ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabiri, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete ametoa milioni 10 kwa ajili yawamachinga hao kukopeshana mitaji.
PICHA NA IKULU
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akijibu maswali ya wabunge kuhusu upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini na uondoaji wa tatizo la mgawo wa umeme unaoendelea kwenye baadhi ya maeneo nchini na kufafanua kuwa serikali inaendelea na mikakati ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya utoaji wa huduma ya umeme katika maeneo yasiyo na huduma hiyo na kuimarisha uzalishaji wa umeme wa uhakika katika Gridi ya Taifa kupitia vyanzo mbalimbali.
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR –Mageuzi) David Kafulila akichangia bungen kuhusu namna bora ya ukusanyaji wa mapato kupitia kodi zinazotozwa kwenye makampuni ya simu nchini ili kuongeza mapato ya serikali leo mjini Dodoma.
Waziri na Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Mponda(kushoto) akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia)ndani ya ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma.
Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugay akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizowasilishwa na wabunge wakati wa kikao cha tano cha mkutano wa sita leo mjini Dodoma.
Naibu waziri wa Wizara ya Fedha Gregory Theu (kushoto) akizungumza jambo na Naibu waziri wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Christopher Chiza (kulia) nje ya ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha Mustapha Mkulo (kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kwa wabunge mara baada ya kumalizika kwa kikao cha tano cha mkutano wa sita leo mjini Dodoma.Kutoka kushoto ni mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Davidi Kafulila (wa pili kutoka kushoto) kutoka Kigoma kusini. Picha na Aron Msigwa –MAELEZO.
Waziri wa Fedha Mustapha Mkulo akitoa maelezo ya awali kuhusu maendeleo ya kazi za maadalizi ya sensa ya watu na makazi iliyopangwa kufanyika nchini wakati wa semina kati ya wataalam kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu na wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Fedha na Uchumi iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma,Hata hivyo waziri Mkulo amefafanua kuwa serikali itahakikisha kuwa sensa hiyo inafanyika kama ilivyopangwa kwa ubora na ufanisi ikilinganisha na sensa zilizopita.
Mkurugenzi mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Sensa Dkt. Albina Chuwa akisisitiza jambo kwa wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Fedha na Uchumi kuhusu zoezi la sensa ya watu litakalofanyika nchi nzima mwezi Agosti mwaka huu leo mjini Dodoma.
Manaibu waziri wa Fedha Gregory Theu (kushoto) na Pereira Silima(kulia) wakifuatilia masuala mbalimbali kuhusu Sensa ya watu na makazi itakayofanyika mwaka huu wakati semina iliyowahusisha wataalam kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu na wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Fedha na Uchumi leo mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Jamii na Kamati ya Fedha na Uchumi wakifuatilia taarifa mbalimbali kuhusu maandalizi ya sense ya watu na makazi itakayofanyika mwaka walipokutana na wataalam kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu leo mjini Dodoma.Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.
Mhadhiri mwandamiz, Marehemu John Franklin Chekani
Mkurugenzi wa Kampuni ya The African Stars Entertainment (ASET), Asha Baraka, akionesha vifaa vya muziki vitakavyotumiwa na Taasisi ya kuvumbua vipaji ya Twanga Academia wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya The African Stars Entertainment (ASET), Asha Baraka, akionesha vifaa vya muziki vitakavyotumiwa na Taasisi ya kuvumbua vipaji vya wapigaji ala za muziki ya Twanga Academia wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Kushoto ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Warren Reed.
Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugay akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizowasilishwa na wabunge wakati wa kikao cha tano cha mkutano wa sita leo mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akijibu maswali ya wabunge kuhusu upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini na uondoaji wa tatizo la mgawo wa umeme unaoendelea kwenye baadhi ya maeneo nchini na kufafanua kuwa serikali inaendelea na mikakati ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya utoaji wa huduma ya umeme katika maeneo yasiyo na huduma hiyo na kuimarisha uzalishaji wa umeme wa uhakika katika Gridi ya Taifa kupitia vyanzo mbalimbali.
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR –Mageuzi) David Kafulila akichangia bungen kuhusu namna bora ya ukusanyaji wa mapato kupitia kodi zinazotozwa kwenye makampuni ya simu nchini ili kuongeza mapato ya serikali leo mjini Dodoma.
Waziri na Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Mponda(kushoto) akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia)ndani ya ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma.
Naibu waziri wa Wizara ya Fedha Gregory Theu (kushoto) akizungumza jambo na Naibu waziri wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Christopher Chiza (kulia) nje ya ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha Mustapha Mkulo (kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kwa wabunge mara baada ya kumalizika kwa kikao cha tano cha mkutano wa sita leo mjini Dodoma.Kutoka kushoto ni mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Davidi Kafulila (wa pili kutoka kushoto) kutoka Kigoma kusini.Picha na Aron Msigwa –MAELEZO.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao leo January 6, 2012 walikwenda Ikulu ndogo ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabiri, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete ametoa milioni 10 kwa ajili yawamachinga hao kukopeshana mitaji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali (mst) Ernest Mwita Kyaro jijini Mwanza asubuhi ya leo Jauary 6, 2012. Jenerali mstaafu Kyaro, ambaye alikuwa mkuu wa majeshi katika serikali ya awamu ya pili, amefurahi na kumshukuru sana Rais Kikwete na mkewe kwa kutembelea.PICHA NA IKULU.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali (mst) Ernest Mwita Kyaro jijini Mwanza asubuhi ya leo Jauary 6, 2012. Jenerali mstaafu Kyaro, ambaye alikuwa mkuu wa majeshi katika serikali ya awamu ya kwanza, amefurahi na kumshukuru sana Rais Kikwete na mkewe kwa kutembelea
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao leo January 6, 2012 walikwenda Ikulundogo ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabiri, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete ametoa milioni 10 kwa ajili yawamachinga hao kukopeshana mitaji.Picha na IKULU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya kitabu cha China kutoka kwa Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, aliyefika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, aliyefika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Mabalozi wateule wanaokwenda kufanya kazi nchi za nje walizopangiwa, wakati walipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga kabla ya kwenda kuanza majukumu yao ya kikazi katika nchi walizopangiwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na baadhi ya Mabalozi wateule baada ya kumaliza mazungumzo nao wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga kabla ya kuondoa kwenda kuanza majukumu yao ya kikazi katika nchi walizopangiwa. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
Mshiriki wa shindano la “Cheza, Vaa, Imba Lama Rihanna” akionyesha uwezo wake wakati wa utambulisho wao.
“Rihanna” mwingine akionyesha uwezo wake.
...Akionyesha “machejo” yake.
Nameless akitumbuiza na mmoja wa mashabiki aliyemwita apande jukwaani.
Kiongozi wa Mashauzi Classic Band, Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’, akinengua na mpiga gitaa wake.
...Akiwajibika jukwaani.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Zuhura, akipagawisha mashabiki.
Juma Nature akiongea na mashabiki wake.
Juma Nature “akipeana tano” na mashabiki wake kabla ya makamuzi.
Kundi zima la Wanaume Halisi likiwajibika jukwaani.
Mwanamuziki Ambwene Yesayah ‘AY’, akiwasalimia mashabiki.
Wasanii wa kundi la Wakali Dancers wakikamua wimbo wa Michael Jackson.
Wanamuziki wa bendi ya FM Academia wakiwajibika.
Kina “Rihanna” wakionyesha ujuzi wao.
sha Mashauzi akiwa kazini.
Wanenguaji wa FM Academia wakionyesha uwezo wa nyonga zao.
….Akina Rihanna Wakiwa kwenye pozi la pamoja.
Mashabiki waliofurika katika tamasha hilo wakifuatilia burudani hiyo.
Hali halisi ya umati ulioingia ukumbini hapo-- MASHABIKI waliohudhuria burudani katika kituo cha maraha cha Dar Live huko Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam walipata starehe ya kutosha kutoka kwa wanamuziki Juma Kassim ‘Sir Nature’ wa hapa nchini, na Namelesa kutoka Kenya ambapo walitoa makamuzi ya nguvu usiku wa kuamkia leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya kitabu cha China kutoka kwa Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, aliyefika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, aliyefika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Mabalozi wateule wanaokwenda kufanya kazi nchi za nje walizopangiwa, wakati walipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga kabla ya kwenda kuanza majukumu yao ya kikazi katika nchi walizopangiwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na baadhi ya Mabalozi wateule baada ya kumaliza mazungumzo nao wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga kabla ya kuondoa kwenda kuanza majukumu yao ya kikazi katika nchi walizopangiwa. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi na watendaji wa Wizara nchi,Ofisi ya Rais, Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi na watendaji wa Wizara nchi,Ofisi ya Rais, Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo, katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi leo,katika utekelezaji wa kazi Wizara hiyo.Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar
Mwanamuziki Banarba wa THT.
Na www.sufianimafoto.blogspot.com
MSANII mahiri katika miondoko ya muziki wa Bongo Flava Barnara, anataraia kuondoka nchini
Machi 28, mwaka huu kuelekea nchini Ufaransa kwa ajili ya kurekodi kibao chake kipya
kiitwacho 'Tuachane kwa Wema, ambacho atamshirikisha mwanamuziki nyota wa muziki wa Dansi
Fally Ipupa.
Akizungumza na mtandao huu wa www.sufianimafoto.blogspot.com, Barnaba, alisema kuwa
maandalizi yote ya safari hiyo tayari yamekamilika na tayari amekwishapewa 'Apointment' na
moja ya Studio za nchini humo tarehe ya kufika na kurekodi wimbo wake huo.
Aidha Barnaba alisema kuwa wimbo huo utakuwa ni miongoni mwa nyimbo zake zitakazokuwamo
katika albam yake mpya itakayokuwa na jumla ya nyimbo 10, ambayo inatarajia kukamilika
mwezi wa sita mwaka huu.
''Unajua katika ndoto zangu za kimuziki nimekuwa na ndoto siku nyingi ya kurekodi na mastaa
wa ukweli Duniani, na Fally ni mwanzo tu kwani wapo wengine ambao tayari nimeshawasiliana
nao pande za mamtoni ambao tayarikama watatu wamekwisha nithitishia kunipa 'shavu' katika
miongoni mwa nyimbo zangu kadhaa ambazo nyingine zitakuwa ni katika albam yangu ijayo baadaya hii.
Hata Fally pia alikuwa akitamani kurekodi na mimi tangu nilipo mpagawisha katika moja ya
shoo yake alipokuja nchini na kuipenda sauti yangu, kwa hiyo naye nipi ni nafasi yake pekee
aliyokuwa akiitamani ambayo amefanikiwa'' alisema Barnaba
Barnaba alisema kuwa mbali na wimbo huo lakini pia anatarajia kurekodi video ya wimbo huo,
awapo nchini humo iwapo atafanikiwa kumaliza ndani ya muda uliopangwa na mwandaaji wake.
Alizitaja baadhi ya nyimbo zitakazokuwa katika albam hiyo kuwa ni pamoja na Gubegube,
Sidhani Kama na Roho si Moyo, ambazo zote tayari zimekwisharekodiwa katika Studio za THT.
MSANII mahiri katika miondoko ya muziki wa Bongo Flava Barnara---MSANII mahiri katika miondoko ya muziki wa Bongo Flava Barnara, anataraia kuondoka nchini Machi 28, mwaka huu kuelekea nchini Ufaransa kwa ajili ya kurekodi kibao chake kipya kiitwacho 'Tuachane kwa Wema, ambacho atamshirikisha mwanamuziki nyota wa muziki wa Dansi Fally Ipupa. Akizungumza na mtandao huu wa sufianimafoto, Barnaba, alisema kuwa maandalizi yote ya safari hiyo tayari yamekamilika na tayari amekwishapewa 'Apointment' na moja ya Studio za nchini humo tarehe ya kufika na kurekodi wimbo wake huo. Aidha Barnaba alisema kuwa wimbo huo utakuwa ni miongoni mwa nyimbo zake zitakazokuwamo katika albam yake mpya itakayokuwa na jumla ya nyimbo 10, ambayo inatarajia kukamilika mwezi wa sita mwaka huu. ''Unajua katika ndoto zangu za kimuziki nimekuwa na ndoto siku nyingi ya kurekodi na mastaa wa ukweli Duniani, na Fally ni mwanzo tu kwani wapo wengine ambao tayari nimeshawasiliana nao pande za mamtoni ambao tayarikama watatu wamekwisha nithitishia kunipa 'shavu' katika miongoni mwa nyimbo zangu kadhaa ambazo nyingine zitakuwa ni katika albam yangu ijayo baada ya hii. Hata Fally pia alikuwa akitamani kurekodi na mimi tangu nilipo mpagawisha katika moja ya shoo yake alipokuja nchini na kuipenda sauti yangu, kwa hiyo naye nipi ni nafasi yake pekee aliyokuwa akiitamani ambayo amefanikiwa'' alisema Barnaba Barnaba alisema kuwa mbali na wimbo huo lakini pia anatarajia kurekodi video ya wimbo huo, awapo nchini humo iwapo atafanikiwa kumaliza ndani ya muda uliopangwa na mwandaaji wake. Alizitaja baadhi ya nyimbo zitakazokuwa katika albam hiyo kuwa ni pamoja na Gubegube, Sidhani Kama na Roho si Moyo, ambazo zote tayari zimekwisharekodiwa katika Studio za THT.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti, Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mafia, Abdallah Mdimu, baada ya Wilaya hiyo kuibuka mshindi wa kwanza kwa ulipaji wa Ada za Wanachama, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya chama hicho zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini jana Februari 5, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea kadi ya mwanachama mpya kutoka CUF, Omar Said Hunda, aliyeamua kujiunga na CCM, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani, jana Februari 5, 2012.
Katibu wa CCM Wilaya ya Kibaha Vijijini, Mohamed Shaban, akimbeba juu juu mwanachama mpya, Omar Said Hunda, aliyekuwa mgombea Udiwani Kata ya Dutumi kwa tiketi ya CUF katika uchaguzi wa mwaka 2010, aliyejiengua katika chama hicho na kujiunga na CCM. Hapa mwanachama huyu alikuwa akipelekwa mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwa ajili ya kukabidhi kadi yake wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani, jana Februari 5, 2012.
Baadhi ya Wanachama wapya waliojiunga na Chama cha Mapinduzi CCM, wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi zao za uanachama na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya chama hicho zilizofanyika jana Februari 5, 2012 Wilaya ya Kibaha Vijijini.Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu Wa Rais
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti, Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mafia, Abdallah Mdimu, baada ya Wilaya hiyo kuibuka mshindi wa kwanza kwa ulipaji wa Ada za Wanachama, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya chama hicho zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea kadi ya mwanachama mpya kutoka CUF, Omar Said Hunda, aliyeamua kujiunga na CCM, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani, jana.
Katibu wa CCM Wilaya ya Kibaha Vijijini, Mohamed Shaban, akimbeba juu juu mwanachama mpya, Omar Said Hunda, aliyekuwa mgombea Udiwani Kata ya Dutumi kwa tiketi ya CUF katika uchaguzi wa mwaka 2010, aliyejiengua katika chama hicho na kujiunga na CCM. Hapa mwanachama huyu alikuwa akipelekwa mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwa ajili ya kukabidhi kadi yake wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani, jana.
Baadhi ya Wanachama wapya waliojiunga na Chama cha Mapinduzi CCM, wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi zao za uanachama na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya chama hicho zilizofanyika jana Wilaya ya Kibaha Vijijini. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
Release No. 017TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIFebruari 6, 2012
Wananchi waliovunjiwa nyumba zao katika msitu wa Mabwe Pande kupisha mradi wa makazi ya wahanga wa Mafuriko ya Jangwani jijini Dar es salaam, wakiongea na mpiga picha wa magazeti ya Serikali Mohamed Mambo (TSN), wakati alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa wananchi hao wakiwa maeneo ya bustani ya Posta ya Zamani jijini Dar es salaam leo.
Wananchi hao waliowakilisha wenzao wapatao 150 wameandamana kwa lengo la kuonana na Rais Jakaya Kikwete ili kumueleza shinda yao, ambapo wanakiri kuwa ni kweli walivamia msitu wa Mabwe Pande lakini wanadai kuwa pamoja na hayo sasa wamevunjiwa nyumba zao waende wapi, hivyo wanaomba angalau wapewe viwanja tu, ili waweze kupata mahali pa kujihifadhi na familia zao.
Mpaka FULLSHANGWE inaondoka eneo la tukio bado walikuwa wakisubiri jibu kutoka kwa wawakilishi wao, ambao walikwenda Ikulu kwa ajili ya mkupeleka malalamiko yao leo hii.
VILLA SQUAD, SIMBA ZAINGIZA MIL 30/-Mechi namba 107 ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Villa Squad na Simba iliyochezwa Februari 4 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 30,017,000.
Baadhi ya Wanachama wapya waliojiunga na Chama cha Mapinduzi CCM, wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi zao za uanachama na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya chama hicho zilizofanyika jana Februari 5, 2012 Wilaya ya Kibaha Vijijini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti, Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mafia, Abdallah Mdimu, baada ya Wilaya hiyo kuibuka mshindi wa kwanza kwa ulipaji wa Ada za Wanachama, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya chama hicho zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini jana Februari 5, 2012
Katibu wa CCM Wilaya ya Kibaha Vijijini, Mohamed Shaban, akimbeba juu juu mwanachama mpya, Omar Said Hunda, aliyekuwa mgombea Udiwani Kata ya Dutumi kwa tiketi ya CUF katika uchaguzi wa mwaka 2010, aliyejiengua katika chama hicho na kujiunga na CCM. Hapa mwanachama huyu alikuwa akipelekwa mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwa ajili ya kukabidhi kadi yake wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani, jana Februari 5, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea kadi ya mwanachama mpya kutoka CUF, Omar Said Hunda, aliyeamua kujiunga na CCM, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani, jana Februari 5, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugay akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizowasilishwa na wabunge wakati wa kikao cha tano cha mkutano wa sita leo mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akijibu maswali ya wabunge kuhusu upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini na uondoaji wa tatizo la mgawo wa umeme unaoendelea kwenye baadhi ya maeneo nchini na kufafanua kuwa serikali inaendelea na mikakati ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya utoaji wa huduma ya umeme katika maeneo yasiyo na huduma hiyo na kuimarisha uzalishaji wa umeme wa uhakika katika Gridi ya Taifa kupitia vyanzo mbalimbali.
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR –Mageuzi) David Kafulila akichangia bungen kuhusu namna bora ya ukusanyaji wa mapato kupitia kodi zinazotozwa kwenye makampuni ya simu nchini ili kuongeza mapato ya serikali leo mjini Dodoma.
Waziri na Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Mponda(kushoto) akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia)ndani ya ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma.
Naibu waziri wa Wizara ya Fedha Gregory Theu (kushoto) akizungumza jambo na Naibu waziri wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Christopher Chiza (kulia) nje ya ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha Mustapha Mkulo (kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kwa wabunge mara baada ya kumalizika kwa kikao cha tano cha mkutano wa sita leo mjini Dodoma.Kutoka kushoto ni mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Davidi Kafulila (wa pili kutoka kushoto) kutoka Kigoma kusini. Picha na Aron Msigwa –MAELEZO.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza machache kwenye Sherehe za uzinduzi wa Kitabu cha Mh Pius Msekwa kiitwacho Uongozi na Utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika halfa fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Ndogo Mjini Mwanza jana.
Makamu Mwenyekiti wa CCM na mtunzi wa kitabu cha Uongozi na Utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mheshimiwa Pius Msekwa akizungumza machache kwenye uzinduzi wa kitabu hicho
Rais Jakaya Kikwete akizungumza machache kwenye Sherehe za uzinduzi wa Kitabu cha Mh Pius Msekwa kiitwacho Uongozi na Utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika halfa fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Ndogo Mjini Mwanza jana.Picha na IKULU---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumapili, Februari 5, 2012, amezindua Kitabu kiitwacho Uongozi na Utawala wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika halfa fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Ndogo Mjini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, aliyefika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini
After hitting the airwaves of your favourite radio stations the big time rhymer G-RA has done it again this time round on a catchy beat with his illiest flow on a track ‘SWAGGER’ which is full of
Meneja Masoko wa TBL,Mamongae Mahlare,Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscer Shelikindo,Jaji Mkuu wa Shindano Safari Lager Nyama Choma,Lawrence Salvi pamoja na mpiga picha wa TBC,Jane John walila nyama choma ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa shindano hilo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.--- Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager jana imezindua rasmi yale mashindano ya aina yake na ya kuvutia ya kuchoma nyama yajulikanayo kama “Safari Lager Nyama Choma”

Benjamin Sawe
Kitengo cha Habari
Zanzibar
Watanzania wametakiwa kulinda na kuheshimu tamaduni ili waweze kusonga mbele na kujiletea maendeleo.
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Bi. Lily Beleko katika mafunzo kwa maafisa wa Idara mbalimbali za serikali.
Akiongea kwenye mafunzo hayo Bi Beleko alisema lengo la mafunzo hayo ni kuelimisha umma wa watanzania kulinda,kuheshinu,ikiwa ni pamoja na kushirikiana katika nyanja za kiutamaduni.
Akifungua mafunzo hayo Kamishna wa Utamaduni na Michezo Zanzibar Bwana Hamadi Bakari Mshindo alisema kuna umuhimu wa kulinda utamaduni na kuheshimu tamaduni za mataifa mengine.
“Kuna umuhimu wa kulinda na kuheshimu tamaduni zetu na tamaduni za mataifa mengine lakini tuheshimu tamaduni zile zilizo nzuri pekee na kuacha tamaduni zisisoendana na mila mna tamaduni za mwafrika”.Alisema Bwana Mshindo.
Bwana Mshindo alisema ni wajibu kwa kila mtanzania kulinda na kuheshimmu tamaduni za mwafrika na za mataifa mengine kwa ujumla.
Alisema mara nyingi kuna miradi mingi ya maendeleo inafanyika katika maeneo mbalimbali lakini tamaduni za sehemu husika zinakuwa hazifuatwi.
Aidha alisema kwa upande wa Zanzibar wameshaanza kutoa elimu jinsi ya kulinda na kuheshimu tamaduni za jamii mbalimbali
Rais Jakaya Kikwete akiwa na meya wa jiji la Wurzburg(Kushoto) na Meya wa jiji la Mwanza Jumapili jioni Ikulu ndogo ya Mwanza.Picha na IKULU--
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumapili, Februari 5, 2012, amekutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Mji wa Wurzburg wa Ujerumani, Mheshimiwa George Rosenthal.
Mbunge wa Ubungo(CHADEMA)Mh John Mnyika---Nashukuru wote waliounga mkono marekebisho niliyowasilisha tarehe 03/02/2012 kwenye sheria (The Anti Money Laundering (Amendments Act) 2012 ya kumwingiza msajili wa vyama vya siasa kuwa sehemu ya wadhibiti wa masuala ya fedha haramu. Kwa upande mwingine, nawashukuru wote waliotikia NDIYO (kwa kujua au kutokujua) kuunga mkono marekebisho mengine ambayo niliyawasilisha katika sheria husika ya kuongeza ukubwa wa adhabu kutoka na makosa ya ujumla ya kukiuka Sheria ya Udhibiti wa Fedha haramu.
NA GLADNESS MUSHI WA FULLSHANGWE- ARUSHA
WANASAYANSI nchini kwa kushirikina wenzao duniani, wametakiwa kufuatilia hewa ya ukaa katika misitu iliyopo nchini, ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi, ambayo huathiri upatikanaji wa mvua kwa msimu .
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi kwa niaba ya Waziri wa mali asili na utalii, Ezekiel Maige, ameyasema hayo leo wakati alipokuwa akifungua mkutano wa 3 wa wadau wa mazingira, kuhusu uhifadhi endelevu na kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi, unaofanyika Jijini Arusha na kushirikisha wanasayansi 53 kutoka duniani kote.
Alisema kuwa Tanzania tayari wanampango wa Nafoma unaojihusisha na upandaji miti ya uhifadhi mazingira, ambayo ina uwezo mkubwa wa kukabiliana na changamoto za mazingira hususani hewa ya ukaa inayozalishwa nchini.
“Watu lazima wapande miti kwa wingi na siyo bora miti tu, bali wapate ushauri aina ya miti watakayopanda, tukifanya hivi tutapata mvua kwa wakati unotakiwa kwa sababu mpango huu umefanikiwa Mkoani Iringa, ambapo zamani walikuwa hawapati mvua kwa wakati na hewa ilikuwa mbaya ila baada ya kupanda miti mingi sasa mvua huja kwa mpango na hewa safi” alisema Maimuna.
Aidha alisema kuwa huwenda wananchi wengi wakashindwa kupanda miti na kuisubiri kukomaa na kuvuna, badala yake wanapopata shida huivuna kabla ya kukomaa, ili kuondoka na na tatizo hilo aliwashauri wananchi kubuni mradi wa ufugaji nyuki kwa kuweka mizinga katika miti watakayootesha shambani mwao.
Naye Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Dk. Julius Ningu alisema kuwa, asilimia 80 ya watanzania hutumia nishati ya kuni na mkaa na asilimia 10 tu wanatumia umeme, hali mbayo ni hatari kwa taifa, katika uharibifu wa mazingira.
Alisema kuwa serikali ili kuondokana na tatizo hili, ipo mbioni kufanya juhudi za makusudi kutoa ruzuku katika nishati ya gesi, ili wananchi wengi wamudu gharama ya gesi na kuitumia, na kuondokana na matumzi ya kuni na mkaa ambayo yamekuwa yakisababaisha uharibifu mkubwa wa mazingira nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, aliyefika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya kitabu cha China kutoka kwa Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinsheng, aliyefika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake nchini. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Mabalozi wateule wanaokwenda kufanya kazi nchi za nje walizopangiwa, wakati walipofika ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga kabla ya kwenda kuanza majukumu yao ya kikazi katika nchi walizopangiwa. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na baadhi ya Mabalozi wateule baada ya kumaliza mazungumzo nao wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Februari 6, 2012 kwa ajili ya kumuaga kabla ya kuondoa kwenda kuanza majukumu yao ya kikazi katika nchi walizopangiwa. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Katibu wa CCM Wilaya ya Kibaha Vijijini, Mohamed Shaban, akimbeba juu juu mwanachama mpya, Omar Said Hunda, aliyekuwa mgombea Udiwani Kata ya Dutumi kwa tiketi ya CUF katika uchaguzi wa mwaka 2010, aliyejiengua katika chama hicho na kujiunga na CCM. Hapa mwanachama huyu alikuwa akipelekwa mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwa ajili ya kukabidhi kadi yake wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani, jana Februari 5, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Baadhi ya Wanachama wapya waliojiunga na Chama cha Mapinduzi CCM, wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi zao za uanachama na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya chama hicho zilizofanyika jana Februari 5, 2012 Wilaya ya Kibaha Vijijini. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti, Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mafia, Abdallah Mdimu, baada ya Wilaya hiyo kuibuka mshindi wa kwanza kwa ulipaji wa Ada za Wanachama, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya chama hicho zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini jana Februari 5, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea kadi ya mwanachama mpya kutoka CUF, Omar Said Hunda, aliyeamua kujiunga na CCM, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya CCM, zilizofanyika Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani, jana Februari 5, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Mechi namba 107 ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Villa Squad na Simba iliyochezwa Februari 4 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 30,017,000.
Watazamaji waliokata tiketi kushuhudia mechi hiyo ni 8,698 ambapo kiingilio kilikuwa sh. 3,000 kwa viti vya bluu na kijani, sh. 5,000 kwa viti vya rangi ya chungwa, sh. 10,000 kwa VIP C na B na sh. 15,000 VIP A.
Baada ya kuondoa asilimia 18 ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ambayo ni sh. 4,578,864.41 fedha zilizobaki zilikuwa sh. 25,438,135.59. Gharama za awali za mechi zilikuwa nauli ya ndani kwa waamuzi sh. 10,000, nauli ya ndani kwa kamishna wa mchezo sh. 10,000.
Posho ya kujikimu kwa mwamuzi wa akiba sh. 30,000, gharama za tiketi sh. 3,960,000, umeme sh. 300,000, usafi na ulinzi kwa uwanja sh. 2,350,000 na Wachina (Beijing Construction) sh. 2,000,000. Nyingine ni Jichangie ambayo ni sh. 200 kwa kila tiketi; kila klabu ilipata sh. 608,860 wakati Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kilipata sh. 521,880.
Mgawo baada ya gharama za awali; uwanja na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kila moja ilipata sh. 1,503,853.56, Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) sh. 751,926.78, gharama za mechi sh. 1,503,853.56, Baraza la Michezo la Taifa (BMT) sh. 150,385.36, DRFA sh. 601,541.42 na kila klabu ilipata sh. 4,511,560.68.
Mwamuzi Israel Mujuni wa Tanzania ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuchezesha mechi ya marudiano ya raundi ya mchujo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya APR ya Rwanda na Tusker ya Kenya itakayochezwa jijini Kigali kati ya Machi 2, 3 na 4 mwaka huu.
Mujuni atasaidiwa na Samuel Mpenzu na Khamis Maswa kutoka Tanzania wakati mwamuzi wa akiba katika mechi hiyo namba 18 atakuwa Louis Hakizimana wa Rwanda.
Kamishna wa mchezo huo atakuwa Aboubacar Nkejimana kutoka Burundi.
Nayo Mafunzo ya Zanzibar katika mechi yake ya kwanza katika raundi ya mchujo ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Muculmana de Maputo ya Msumbiji itakayofanyika mjini Zanzibar kati ya Februari 17, 18 na 19 mwaka huu itachezeshwa na waamuzi kutoka Shelisheli.
Bernard Camille ndiye atakayekuwa mwamuzi wa kati huku akisaidiwa na Steve Marie na Gilbert Lista. Mwamuzi wa akiba katika mechi hiyo namba 27 atakuwa Ramadhan Ibada wa Tanzania wakati Kamishna atakuwa Ali Waiswa kutoka Uganda.
Kwa mujibu wa CAF, timu 13 bora zenyewe zimeingia moja katika raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Timu hizo ni Coton Sport (Cameroon), El Ahly (Misri), Djoliba (Mali), Stade Malien (Mali), MAS (Morocco), Raja (Morocco), Sunshine Stars (Nigeria), TP Mazembe (Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo- DRC), El Hilal (Sudan), El Merrikh (Sudan), EST (Tunisia), ESS (Tunisia) na Dynamos (Zimbabwe).
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefanyia marekebisho viingilio vya mechi za Ligi Kuu ya Vodacom zitakazochezwa katika Uwanja wa Azam ulioko eneo la Chamazi, Dar es Salaam.
Viingilio katika mechi za uwanja huo sasa vitakuwa sh. 1,000 kwa mzunguko na sh. 5,000 kwa jukwaa kuu badala ya vile vya awali vya sh. 3,000 kwa mzunguko na sh. 10,000 kwa jukwaa kuu. Mabadiliko hayo yalianza kwenye mechi ya jana kati ya Azam na JKT Oljoro.
Hata hivyo, viingilio hivyo havitatumika kwa mechi zitakazohusu mechi ambazo timu za Simba na Yanga zitacheza kwenye uwanja huo.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinajiendesha kwa kuheshimu maoni, maamuzi na ushauri unaotolewa na wananchama wake katika ngazi mbalimbali.
Hayo yamesemwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Profesa Makame Mnyaa Mbarawa wakati akimnadi mgombea wa CCM Jimbo la Uzini Mohamedraza Hassanal Dharamsi katika shehia ya Mchangani Mkoa Kusini Unguja.
Profesa Mbarawa amesema Kamati Kuu ya Taifa ya CCM hufanya uchambuzi, kupima mambo kwa vigezo husika hatimaye huzingatia maamuzi na ushauri wa wananchama wake.
Amesema CCM si chama kinachochakachua, kubadili au kupuuzia maoni na maamuzi ya wanachama wake kwa kufanya upendeleo.
Ameeleza kuwa CCM ni taasisi ya kisiasa yenye uzoefu mkubwa Barani Afrika, viongozi wake ni mahiri, wajuzi na wenye uwezo wa kupima mwenendo ulivyo.
Aidha Mjumbe huyo Kamati Kuu ya CCM amesisitiza kuwa CCM huongozwa na mwelekeo wa Katiba na Kanuni zake bila ya kufanya ubaguzi, upendeleo na maonevu.
Akizungumzia mchakato wa kumpata mgombea wa Uzini, Profesa Mbarawa amesema Kamati Kuu ya CCM imefanya tafakuri pana, uchambuzi wa kutosha na kukusanya vielelezo vilivyomthibitisha kuwa Raza anatosha kuwa mgombea.
Amewataka wananchi wa Uzini kujipanga na kuhakikisha Mgombea huyo wa CCM anashinda katika uchaguzi wa Februari 12 mwaka huu, ili ashirikiane na wananchi wenzake kuleta maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi na watendaji wa
Wizara nchi,Ofisi ya Rais, Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo,
katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi leo,katika
utekelezaji wa kazi Wizara hiyo.
(Picha na Ramadhan Othman Ikulu.) 06/02/2012
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi na watendaji wa
Wizara nchi,Ofisi ya Rais, Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo
Siku chache zijazo,msanii Steve Nyerere,ambaye yaelekea ameamua kujikita katika filamu zenye uhalisia fulani hususani zenye mrengo wa kisiasa,anatarajiwa kuzindua filamu yake mpya inayokwenda kwa jina Respect Nyerere ikiwa ni filamu kuhusu baadhi ya matukio au mambo yatokanayo na maisha ya Baba wa Taifa,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Steve Nyerere ambaye hivi karibuni alitoa filamu ya Mr.President ambayo ni filamu yenye matukio sambamba na maisha ya Rais wa sasa,Jakaya Mrisho Kikwete,amesema filamu ya Respect Nyerere itazinduliwa rasmi tarehe 14 Februari 2012 katika Hotel ya Serena jijini Dar-es-salaam.
Na Ashura Mohamed - Arusha
Serikali kupitia Wizara ya ulinzi na usalama imeombwa kuendelea kuwaboreshea makazi askari polisi ili waweze kuishi katika mazingira mazuri na kuongeza ufanisi katika kazi.
Akizungumza katika sherehe za kukaribisha mwaka mpya 2012 zilizoandaliwa na jeshi la polisi mgeni rasmi katika hafla hiyo ambaye ni hakimu mkazi mkoani arusha Charles Magesa amesema kuwa ili kuongeza ufanisi katika kazi pia ni vyema polisi nao wakaboreshewa makazi yao.
Magesa ameongeza kuwa taasisi yeyote inayofanya kazi ya kuihudumia jamii ni lazima changamoto zake zishughulikiwe hivyo amewataka polisi kufanya kazi kwa uwazi na umakini zaidi ili jamii inayoizunguka iweze kuwa na imani nao.
Aidha amesema kuwa jamii ni lazima iweze kulisaidia jeshi la polisi katika kuhakikisha kuwa linatekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwa ni pamoja na kuwapa ushirikiano zaidi ili kuhakikisha kuwa wanafikia malengo yao.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Thobias Andeng’enye amesema kuwa vitendo vya uhalifu katika mkoa wa Arusha vimepungua ukilinganisha na mwaka 2010.
Andeng’enye amesema kuwa jumla ya matukio 25,833 yaliripotiwa mwaka 2011 ikilinganishwa na matukio 26,698 yaliyoripotiwa kwa mwaka 2010 ambapo ni pungufu ya matukio 865.
Amefafanua kuwa matukio hayo yamegawanyika katika makundi manne ni makosa dhidi ya binadamu,makosa dhidi ya mali,makosa dhidi ya maadili ya Jamii na makosa ya usalama barabarani ambapo ni pamoja na mauji,kubaka,kulawiti.wizi wa watoto,kutupa watoto,unyang’anyi wa kutumia silaha,unyang’anyi wa kutumia nguvu,wizi wa magari,wizi wa mifugo,ajali za moto na makosa ya usalama barabarani.
Hata hivyo kamanda Andengenye ametaja changamoto wanazokabiliana nazo kwa mwaka 2012 ni pamoja na Tatizo la ajira kwa vijana ni changamoto nyingine inayosababisha kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu kutokana na vijana hao kutokuwa na namna ya kutafuta kipato hivyo inakuwa rahisi kujiingiza katika vitendo vya uhalifu.
Picha ikionyesha moja ya mitambo ya kuchimbia visima.
Na Ashura Mohamed – Simanjiro
Jumuiya ya wananchi wa Korea Kusini wamechimba kisima cha maji katika kata ya Naberero wilayani Simanjiro mkoani Manyara ambacho kimegharimu dola za kimarekani 6500.
Akizungumza wakati wa kuzindua kisima hicho mchungaji wa kanisa la Juan Jung Ang lililopo Korea Kusini Park Eung Soon, amesema kuwa maji ni muhimu hivyo wameona ni vyema kuwasaidia wakazi wa maeneo hayo kwa kuwapunguzia adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta maji.
Park Soon amesema ikiwa kama wananchi wa Tanzania watakuwa na moyo wa kujitolea kama ilivyo kwa wananchi wa Korea Kusini basi ni wazi wataweza kubadili nchi kwa kiasi kikubwa.
Amesema kuwa miaka 50 iliyopita hali ya kiuchumi katika nchi hiyo ilikuwa ni mbaya sana kuliko Tanzania lakini wananchi waliweza kujengewa imani kuwa wananafasi kubwa ya kuibadili nchi yao na wakafanikiwa kwa kiwango kikubwa.
“Wananchi waliojitolea msaada huo sio kama ni matajiri bali ni ile hali ya kujitoa na uaminifu juu ya wengine ndio kinachowasaidia” alisema Park Soon.
Naye Askofu Erick Mkwenda wa Kanisa la kikristo la Marannatha ambaye ni mwenyeji wa ugeni huo amesema ni jambo la neema kwa kuwa kisima hicho kitaweza kuwasaidi wakazi wa kata hiyo kutokana na wilaya hiyo kuwa na tatizo la maji.
Afisa Masoko Mwandamizi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) katika mikoa ya Arusha na Manyara Joan Semuguruka akitoa salamu za kampuni hiyo kwa wafanyakazi wa benki mbalimbali (hawapo pichani) zilizoshiriki hafla ya 'Bankers Gala Night' iliyofanyika mkoani Arusha mwishoni mwa wiki.SBL kupitia bia yake ya Tusker Malt ilidhamini hafla hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa benki tofauti nchini wakipatiwa utaratibu kabla ya kuingia katika hafla iliyowakutanisha pamoja wafanyakazi wa benki katika tukio lililojulikana kama 'Bankers Gala Night'.Tukio hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Arusha na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Tusker Malt.
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscer Shelikindo akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa shindano la Safari Lager Nyama Choma ambalo linashirikisha majiko ya mabaa mbali mbali hapa nchini yanayochoma nyama.Kulia Jaji Mkuu wa Shindano hilo,Lawrence Salvi.
Jaji Mkuu wa Shindano Safari Lager Nyama Choma,Lawrence Salvi akielezea mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam namna shindano la Safari Lager Nyama Choma litakavyofanyika katika mikoa mitano hapa nchini.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscer Shelikindo na kushoto ni Meneja Masoko wa TBL,Mamongae Mahlare.
Meneja Masoko wa TBL,Mamongae Mahlare,Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscer Shelikindo,Jaji Mkuu wa Shindano Safari Lager Nyama Choma,Lawrence Salvi pamoja na mpiga picha wa TBC,Jane John walila nyama choma ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa shindano hilo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
