29331 items (29331 unread) in 18 feeds

Msanii wa kizazi kipya Fred Malik (Mkoloni) inadaiwa amewekewa sumyu katika chakula na hali yake sio nzuri hadi sasa.
Taarifa zinaeleza kuwa msanii huyo ambaye amekuwa akifanya kampeni za Chadema alikuwa na mwenzie G Solo na waklikwenda kupata mtoli katika baa ya MEEDA, Sinza kabla hali yake haijabadilika na kuanza kujisikia vibaya na baadae kukimbizwa zahanati kabla ya kupelekwa Mwananyamala kw amatibabu.
Hali imezidi kuwa mbaya na sasa yuko Muhimbili kwa uangalizi zaidi.
Habari zaidi soma Jiachie

Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi machoni, wala asiye mzembe wa kufikiri, anaalikwa asome kwa uangalifu na azingatie makala hii na awashirikishe ndugu, jamaa na marafiki zake popote pale walipo..
Dr Slaa yes we can! Huyu ni mtanzania wa pili baada ya Nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo. Ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo. Ni Dr. Slaa aliyesimama na kutaja majina ya wala rushwa na mafisadi. Akataka wale wanaopinga wampeleke mahakamani. Hakuna aliyethubutu kujitokeza kumpeleka mahakamani.
Ni Dr. Slaa aliyesimama bungeni kuomba posho za wabunge kupungzwa kuzielekeza zaidi kwa watanzania maskini. Ni Dr Slaa aliyesimama bila woga kunyosha vidole kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma. Ni Dr Slaa amekuwa mtanzania baada ya Nyerere kutoa hoja za nguvu zinazomlenga kumkomboa mtanzania maskini. Maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi? Ajira milioni moja ziko wapi? Hebu mwenye mbavu za kujibu swali hili ajibu bila unafiki!
Ni Dr Slaa anayeweza kudhibiti matumizi mabaya ya ofisi za umma. Ni Dr Slaa anayeweza kuwapa elimu ya bure watoto wetu pale mlimani. Achana na longolongo za CCM kuwatoza ushuru watoto. Waulizeni majukwaani wao Nyerere aliwatoza ada? Kama si kutaka watanzania waendelee kuwa mambumbumbu ni nini? kama si kutaka watanzania tuendeleee kuwa watumwa ni nini?
Ni Dr. Slaa anayeongelea treni ya umeme kwenda Kigoma, Dodoma, Tabora, na Mwanza. Waulize mpango wao ccm kama si kuwapa wahindi wanaoleta mabehewa ambayo mababu zetu walitumia wakati wa ukoloni. Sasa wahindi wanabaki kutudanganya na bajaji wakati vyuma chakavu vya reli sasa vinatumika kujenga vyoo. Hawa hawatutakii mema. Hawana tofauti na akina Carl Peters.
Ni Dr Slaa anayeongelea mfumko wa bei -nani hajajua dola leo hii ni sawa na tsh 1500. Uchumi unadidimia kwa kasi. Ahadi nyingine za uongo lukuki zinatolewa tena, wakati zile tulizoahidiwa mwaka 2005, hata moja haijatekelezwa. Watanzania walio wengi na hasa wa vijijini, wamelala usingizi. Wanafumbuliwa macho, lakini wamesinzia bado! Wanatabasamu, wanachekelea na kuridhika na vitisheti vya kijani na vikofia za njano. Wamekwishazoea shida kiasi kwamba wanadhani ni sehemu ya maisha yao. Ee mwenyezi Mungu, tunusuru na hili balaa..
Ni Dr.Slaa anaweza kuzuia wizi wa matrilion ya pesa kutoka migodi yetu ya Buzwagi, Geita, Bulyankulu, Buhemba, Nyamongo, Tulawaka, Nzega na Tanzanite. CCM wameshindwa kwa sababu ni washirka wakubwa na wameruhusu wizi huo. Ni Dr Slaa anaeweza kuwalipa wafanyakazi zaidi ya shilingi 350.000 achana na CCM ambayo imeshindwa kusimamia maliasili ambazo zingeliwapa wafanyakazi kima cha chini kinachokidhi mahitaji yao.
Ni Dr.Slaa anayeweza kusimamia mashirika ya umma kuleta tija achana na CCM wanaofyonza michango yetu kule, kwani haya mashirika yameshindwa nini kuwajengea nyumba wanachama wake? Mbona kwingine yameweza? Ni Dr.Slaa anayeweza kuongoza nchi bila woga, kwa utawala wa kweli wa sheria bila kuwaonea watu wala bila kulipiza visasi.
Ni Dr. Slaa ambaye amepanga kubadili katiba ili Rais afuate matakwa ya walio mwajiri ambao ni wananchi. Waulize CCM hata kama mtu kaiba anapewa mda arudishe pesa. Hivi inaingia akilini kweli? Utawala wa sheria uko wapi? Naomba niwape heko ITV kwa kuturejeshe kwenye hotuba za mwalimu. Katika hotuba yake moja alisema waziri mmoja kule uingereza aliandikwa kidogo tu gazetini juu ya kashfa, yule waziri alijiuzulu na waziri mkuu hata hakumjibu bali aliteua mtu mwingine.
CCM hawawezi hayo? Eti wanataka ushahidi. Nani kawambia rushwa tule wawili harafu tutoe vielelezo? Tunaiona rushwa kwa matokeo yake. Matengenezo ya barabara ya bilion 200, baada ya siku mbili imeharibika. Kwanini usimfukuze waziri na katibu wake wa wizara kwanza? CCM hawawezi! eti wanataka vielelezo!
Ni Dr Slaa anayeweza kufanya hayo. Si tumeona mnazi mmoja alivyowataja mafisadi wote! hapo akiwa ni mbunge tu! Je akiwa rais si watakimbia nchi? Jamani nawambia tumpe miaka mitano tu awakurupushe muone moto utakavyowaka.. Tutapata dawa, tutapata shule za bure, tutapata madawati. Jamani hivi kweli karne ya leo watoto wanasoma wamekaa chini? we must be serious! Hivi kweli dunia ya leo watu wanavuliwa nguo njiani kwenda Mwanza, Shinyanaga, Tabora, Kigoma, Mbeya, Lindi na Mtwara kwa sababu ya usafiri wa malori?
Nani asiye jua madaktari wetu wengi bingwa wapo botswana kwa sababu ya maisha duni Tanzania na hivi kwenda kutafuta maisha bora wakati hapa kwetu wananchi maskini wanakufa bila madawa? Nani asiyejua matatizo ya umeme, maji, makazi, maradhi, yanavyotutesa? Nani asiyejua wakulima wetu wasivyokuwa na masoko ya mazao yao? Nani asiejua asilimia 85 ya watanzania wanatumia vibatari au makoroboi kama mwanga? nani asiejua tunavyonyonywa na hawa wakoloni waliokuja kuchukua kila kitu??
Jamani wafanyakazi, wakulima, na wanafunzi, kwa nini mnalala usingizi? Kwa nini mnapiga miayo ya njaa wakati maghala yetu yamejaa nafaka? Ni akili gani hii? Nchi yetu inazo raslimali za kututosha, lakini wanaozifaidi ni vibaka wachache. Mtalala hadi lini?
Ni Dr Slaa mzalendo wa kweli, na sio kwa ajili ya sifa, anaweza kutuvusha tulipo. Nchi hii ni maskini na umaskini wenyewe ni wa kujitakia. Tanzania ni tajiri tuna kila kitu - mito, maziwa, national parks, migodi, mazao ya misitu, na kila aina ya utajiri. Lakini tuko maskini wa kutupwa! Naona huruma na umaskini wa kifikra wa watanzania.
Hivi kuna mtu hajui mapolisi wanalala kwenye vibanda vya mabati? Hivi kuna ambao hawajui mapolisi watendaji wanalipwa laki moja? Wamekosa nini hawa? Ni ajabu! pamoja na laki yao moja utakuta bado wanatumika kuwanyanyasa watetezi wao. Hata maaskari amkeni hiyo laki moja yenu haina tija hadi mrubuniwe kuwanyanyasa wapinzani ambao kimsingi wanawatetea ninyi! Hivi maaskari mnayo macho ya kuona? Jamani tuache woga inawezekana! Mbona Kenya wameweza? Mbona malawi wameweza?Mbona zimbabwe wameweza? Mbona Ghana wameweza? Kufanya mabadiliko sahihi, inawezakana na nafasi ni hii tuitumie.
Tumtume Dr Slaa atukurupushie wezi wote na atuwekee katiba sawa. Huo ndio msingi wa yote. Ni Dr. Slaa asiyeogopa kuwepo na mgombea binafsi. CCM hili hawaliwezi. Wamelipinga hadi mahakamani. Wanataka wao tu ndio waendelee kututawala na kutunyonya.
Jamani 2010 hakuna kudanganyika! enough is enough. Acheni kudanganyika. Wakati ndio huu. Watanzania msipoamua sasa, mtamlaumu nani tena? Nawatamani watu wa kule Mara -hakuna kura inaibiwa. Zote zinasimamiwa. Tukibadilika inawezekana, tena ni rahisi. Peleke ujumbe huu kwa marafiki, ndugu, jamaa, babu na bibi yako kule kijiji ambako wanadhani bado Nyerere ndiye rais wa nchi hii. Peleka ujumbe huu haraka kwa simu kama ipo, au kwa njia ya posta, mradi tu wale jamaa waliochoka kuishi wasiikwapue barua wakidhani ni hela..

Was on my way home when a woman driving an old Peugeot 505 in front of me brushed a young girl driving a very clean Honda Accord (Discussion continues).
This young girl came down from the car and started insulting the woman who was old enough to at least be her mother or Auntie. All efforts by passersby to pacify her proved abortive as she said the car was recently bought by her boyfriend... I just watched and sympathized with the woman.
She told the girl she would fix the car but it was already evening and getting late and she had no money on her unless the girl followed her home to see if her hubby could help. The girl kept screaming as people tried to beg on behalf of the woman.
The girl blatantly refused and decided to call her boyfriend saying: "Baby boy, a stupid woman just hit my car". The car you just bought for me. The man appeared in a matter of minutes ready to please his girlfriend by raining insult on the woman. On getting there, he startedshouting,"Whereis the stupid woman that hit your car", only torealize the woman was his wife!!!
Baba mzazi wa Reginald Miruko (Kisima cha Fikra) Mzee Simon Miruko amefariki dunia jana mchana. Leo asubuhi Reggie ameanza safari ndefu ya kwenda Kaskazini Magharibi mwa nchi (Bukoba) kwa ajili ya kumpumzisha baba yake.“Ndg yetu Reginald, kifo ni udhihirisho wa Umungu. Kwamba hakuna kilichopo duniani isipokuwa kwa uweza wake Mwenyezi. Baba amelala katika usingizi ambao sote twatarajia tutaamka naye pale parapanda itakapopigwa. Kwa hiyo yeye ametangulia, sisi tutamfuata. Tunamkosa kwa muda mfupi sana. Kibinadamu itatupasa kusononeka. Ndio maana nakupeni pole sana wanabidii na hasa Reginald na jamaa yako yote. Mwenyezi ampumzishe mwanae, baba yetu katika amani-AMINA.” –MASHAKA MGETA

JITIHADA za Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi na mbunge anayemaliza muda wake katika Jimbo la Nyamagana, Lawrence Masha, za kupita bila kupingwa katika kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo hilo zimegonga mwamba baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutengua uamuzi wa awali wa msimamizi wa uchaguzi kumzuia mgombea wa CHADEMA.
Taarifa zinadai kuwa NEC imeamua kumrejesha mgombea wa CHADEMA, Ezekiah Wenje ambaye alikuwa wakifanya kazi NMG hapa Harbour View jijini Dar es Salaam, baada ya kuridhishwa na vielelezo vya uraia wake.
Kurejeshwa kwa Wenje katika kinyang’anyiro hicho kitazidisha chachu ya uchaguzi wa ubunge, ambayo tayari ilionekana kutokuwa na msisimko baada ya Masha kuwa mgombea pekee.
NEC leo itatangaza uamuzi huo ambao umepokewa kwa hisia mbalimbali na baadhi ya wakazi wa Jimbo la Nyamagana na wafuatiliaji wa masuala ya siasa.
Waziri Masha aliwasilisha pingamizi dhidi ya Wenje kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Wilson Kabwe, ambaye aliridhika na nyaraka zilizowasilishwa na waziri huyo, hivyo kuamua kumuengua mgombea huyo.
Baada ya uamuzi huo, Wenje aliamua kukata rufaa NEC kwa kuambatanisha vielelezo vyake kuthibitisha kuwa ni raia wa Tanzania na si raia wa Kenya kama Waziri Masha alivyodai.
Mmoja wa viongozi wa juu wa CHADEMA alithibitisha kuona barua ya NEC, ikiwaarifu kulitupa pingamizi lililowekwa na Waziri Masha, hivyo kumruhusu Wenje kuanza pilikapilika za kampeni.
kiongozi huyo ambaye hakupenda jina lake litajwe kwa misingi kuwa si msemaji wa chama hicho, alisema tayari wameshaanza maandalizi ya kampeni na wana uhakika wa kumbwaga tena Waziri Masha katika kinyang’anyiro hicho.
“Ni kweli NEC imemrejesha mgombea wetu baada ya kuona vielelezo vilivyotolewa na mgombea wa CCM vina upungufu na vya mgombea wetu kuwa ni sahihi… tunaamini kwamba haki imetendeka na kinachofuata ni mapambano sasa,” alisema kiongozi huyo
Mkurugenzi wa PSET, Osman Kazi akizungumzia bonanza ambalo amaenadaa kwa mara ya kwanza kwa ajili ya watoto yatima siku ya Idd pili katika viwanja vya leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Watoto wanaoishi katika mazingira magumu wataandaliwa michezo na burudani mbalimbali ikiwa ni pamoja na chakula na vinywaji.Kushoto kwake ni Bi Mwanaisha Magambo wa New Life Orphanage. Kulia ni Mwakilishi wa Royal Palm Seraphin Lusala.
Kazi ameomba wadau wenye moyo mwema na walio na haja ya kuchangia watoto hao wajitolee kwa vitu mbalimbali vinavyoweza kufanikisha siku hiyo ikiwa ni pamoja na uandaaji ambako vinahitajika vyakula, vinywaji vitamu, vifaa vya michezo na hata fedha ili kufanikisha.
Kikubwa ni watu kujitokeza na kujumuika na watoto hao pamoja na familia zao katika siku ya tukio ili kuifanya iwe ya mafanikio zaidi. Hotel Movenpick Royal Palm imejitolea uku,nbi wa mikutano na vinywaji kwa jili ya maandalizi.
Kwa mawasiliano piga simu namba 0713 477300 ama 0715 732333.
PAMOJA TUNAWEZA, INSHAALLAH!!!

Mkutano wa kampeni kwa mgombea wa CCM uliokuwa ufanyike mjini Ngara jana jioni ulilazimika kuahirishwa baada ya helkopta aliyokuwa akitumia kushindwa kumpeleka mjini humo kutokana na hali mbaya ya hewa.Hata hivyo ilimlazimu Rais Kikwete kutumia barabara ambapo aliwasiri mjini humo usiku jkwajili ya kuongea na wananchi, hivyo mkutano huo umeahirishwa hadi leo mapema asubuhi.
Kampuni ya tanzania Distilleries Ltd imezindua kinywaji kipya chenye ladha ya nanasi kiitwacho Bismark Rocks ambacho kwa sasa ni mahsusi kwa walevi wa Kanda ya ziwa sijui wa Dar tutapata lini hii kitu?
Meneja Masoko wa TDL, Joseph Chibehe akizungumza wakati wa kuzindua kinywaji hicho.
Mikono juuu!!!
Meneja mauzio wa TDL Kanda ya Ziwa Dilley Bhanji akionyesha katoni ya viroba vya kinywaji hicho.
Inatamaniwa mpaka na mademu, kudadadadeki!!!!!
Nimeona nikuletee picha za Simba day kama utapata nafasi basi uweke kwenye blog wadau nao waone,ilikuwaje siku hiyo namba na ,maelezo yake ni kama ifatavyo.
Mgeni rasmi wa siku hiyo,Mh, Shamhuna,akiizindua rasmi jezi ya Simba ya ugenini na nyumbani.
Mdau akiuza jezi za Simba siku hiyo,sijui kama Simba wenyewe wanafaidika na mauzo hayo au baadhi tu ya wajanja wanajipatia hela kupitia mgongo wa klabu.
Magari ya watu mbalimbali waliohudhuria.
Twanga pepeta wakinogesha siku hiyo.
Kibonde aliyekua MC wa suku hiyo,akiyarudi magoma ya Twanga Pepeta
MDAU
JOSAA
ALIYEKUWA mgombea wa Ubunge wa jimbo la Hanang,kupitia CCM, Rose Kamili leo anatarajia kurejesha kadi ya CCM na kujiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wilayani Hanang mkoani Manyara.
Kamili ambaye ni Diwani wa CCM tangu mwaka 1994 katika kata ya Basotu, alitangaza uamuzi huo, juzi mara baada ya kutangazwa matokeo ya Ubunge ambapo, yalionesha ameshindwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Mary Nagu.
Kamili ambaye ni mke wa Dk Slaa, mgombea wa Urais wa Chadema mwaka huu, alisema ameamua kujiondoa CCM kutokana na kutoridhishwa na mwenendo ya chama hicho hasa katika kampeni za ubunge.
"napenda kutangaza wazi kuwa mimi siwezi kumuunga mkono Nagu katika kampeni za ubunge na natarajia kurejesha kadi ya CCM kesho(leo)"alisema Kamili.
Kamili alisema ameamua kujiondoa CCM kutokaa na kutoridhishwa na uchaguzi huo, hasa kutokana na kitendo cha Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Michael Sakra kupiga kampeni wilaya nzima ashindwe.
"katibu amekuwa akiwaita viongozi wote wa CCM na kuwaagiza kuhakikisha Nagu anashinda wametumia fedha na hila nyingi hivyo nimeona basi mchango ambao nimeutoa CCM kwa zaidi a miaka 20 unatosha"alisema Kamili
Hata hivyo, alisema uamuzi wa kugombea ubunge au kutogombea atautangaza lakini anaimani chadema ina mgombea mwingine mzuri katika jimbo hilo.
Uamuzi wa kamili kujiunga na chadema utakuwa ni pigo kubwa kwa CCM Hanang na hasa kutokana na nguvu kubwa aliyokuwa nayo katika wilaya hiyo.
Saa kumi na mbili baada ya wakenya kumaliza kupiga kura ili kupinga ama kukubali katiba mpya, matokeo yametoka na kuonyesha kuwa wengi wameikubali. Katika kura zilizopigwa NDIO wamepata 4,141,521 (asilimia 67) wakati waliopinga wamepata 2,054,946 (Asilimia 33). Sasa kwa katiba mpya Kenya itajulikana lama Federal Republic of Kenya.
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chadema, Dk. Willbrod Slaa, jana alipanda jukwaani saa 12.04 na kumaliza saa 12.30 jioni, huku akieleza kuwa kuchelewa kwake kumetokana na Helkopta yake kupata hitilafu akitokea mjini Songea, hali iliyomlazimu kukodi ndege ya dharura ili aweze kuwafikia wananchi hao waliokuwa wakimsubiri tangu saa 9 mchana.
Alisema umasikini wa wakazi wa mikoa ya kusini, Lindi, Mtwara na Ruvuma unatokana na wakazi hao kuikumbatia CCM, na kwamba ni wajibu wao kupima hali zao za maisha miaka 40 tangu Tanzania ipate uhuru huku CCM kikiwa chama pekee kilichotawala.
“CCM ndiyo iliyowafikisha hapo mlipo, miaka 40 tangu uhuru bado hali ya maisha ya watu wa kusini ni duni, barabara ni moja tu ya lami, ukiacha hiyo utang’atwa na nyoka maporini” alibeza mgombea huyo.
Baadhi ya wasikilizaji wakiongea na mwandishi wa habari hizi walimsifu Dk. Slaa kwa hotuba yake ya ushawishi, huku wengine wakimdhihaki kwa madai kuwa pweza aliyeitabiria Hispania kutwaa kombe la dunia pia amemtabiria Dk. Slaa kuwa rais.
“Dk. Slaa kwangu namuona ni mtu anayekerwa na matatizo ya watanzania maana hata hotuba yake imeweka wazi na kuchambua matatizo yetu……pweza amemtabiria kuwa rais” alisema Joshua George

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Chilonwa, Dodoma, kikithibitisha matokeo ya kura za maoni kwa Mtera ambako mwanasiasa mkongwe, John Malecela ameshindwa na kukubali matokeo, baadhi ya wagombea walioshindwa wakiwamo mawaziri, wamelalamikia matokeo.
Jana asubuhi kulikuwa na taarifa za kutolewa kwa matokeo ya Mtera, huku habari zikidai kuwa Mzee Malecela alikuwa ameshinda, lakini matokeo hayo rasmi ya CCM Chilonwa, yalithibitisha kuwa Livingstone Lusinde alikuwa amembwaga kiongozi huyo wa siku nyingi. Endelea


Uongozi wa Kampuni ya MEDIA SOLUTIONS LTD wachapishaji wa magazeti ya ThisDay na KuliKoni unasikitika kuwatangazia kifo cha ghafla cha mfanyakazi wake, Redemptus Angelo kulichotokea Jumapili Agosti 01, 2010 Saa 4.00 usiku katika Hospitali ya Mwananyamala.
Taratibu za mazishi zinafanyika nyumbani kwake Tegeta, Dar es Salaam na taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
MUWAZA IKISHIRIKIANA NA
ZANZIBAR LAW SOCIETY
ZANZIBAR LEGAL SERVICES CENTER
NA JUMIKI
INAPENDA KUTANGAZA NA KUALIKIA KONGAMANO LA KUUNGA
MKONO KURA YA MAONI NA SERIKALI YA UMOJA WA
KITAIFA ZANZIBAR
KONGAMANO LITAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA
AL-AMIN HAPO MALINDI UNGUJA
TAREHE 17 NA 18 MWEZI WA JULAI
KUTAKUWA NA VIPINDI VIWILI KILA SIKU
VIPINDI VYA ASUBUHI NA MCHANA
WATAALAM MBALI MBALI WATAWASILISHA MAKALA
NANE KWA JUMLA
MAKALA ZIATAFUATIWA NA MASUALA NA MAJADILIANO


Kampuni ya Tanzania distilleries (TDL) wameweza kufanya michuano ya Jimbo la Bagamoyo maarufu kama Kawambwa Cup kuwa ya mafanikio makubwa na kivutio kwa wakazi wa mji huo kutokana na udhamini walioutoa ili kukuza michezo ngazi za chini.Pichani:1. Mbunge huyo wa Bagamoyo, Shukuru kawambwa akikabidhi kikombe kwa mshindi.2. Meneja wa Mauzo wa TDL Kanda ya Pwani ka kati Bw. Ngailo (Kushoto) akipokea Cheti cha Shukrani Kutoka kwa Waziri wa Miundombinu Dk. Shukuru Kawambwa kama shuklani yake kwa mchango uliotolewa na kampuni hiyo 3.Baadhi ya wafanyakazi wa TDL wakifuatilia mchezo wa fainali. Ila chata la nyuma linatia kiu kwa sisi wa vikali!!!
We need new leaders of industries and God is putting you up in that position...don't Miss out this!......Teens.....Youth.....are gonna be in the House.....come and hear Words that will change your Destiny... ....new politician are been raised and you are among them ,new Doctors ,Business men and women....The future is yours....Your a Doctor with a difference...a lawyer with a difference...a manager with a difference.....an accountant with a difference a banker with a difference...I know who i am........The future is mine......Glory to God...!!!!!!!
don't Miss this Special online Conference with Pastor Chris..Teens and Youth around the World will be connected on that Day be a apart of this great movement.
Bring a long with you, Your brothers and sisters..your cousins, your Children...your friends Children, your big sisters and big brothers, your friends...your friends friends...Ur Future will never remain the same
Come and experience The Word The praise and Worship,The Dancing and Drama...Free Drinks and Snacks will be available also
Mhadhiri mshiriki wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Profesa Jwani Mwaikusa, mpwawe na jira wameuawa na majambazi usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake. Sambamba na mauaji ya Profesa Mwaikusa, majambazi hayo pia yaliua mtoto aliyekuwamo ndani ya nyumba ya Profesa huyo, Gwamaka Daudi na jirani John Mtui.
Polisi wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa jirani huyo ambaye alikuwa na bastola aliuawa alipokuwa akienda kutoa msaada kwa Profesa huyo.
Jumuia ya wafanyakazi na anafunzi wa UDSM walikumbwa na simanzi kuu leo baada ya kupokea taarifa hizo ingawa wanafunzi walikuwa wakiendelea na mitihani ya kumaliza mwaka.
Mkuu wa Kitengo cha Sheria Chuoni hapo Profesa Palamagamba Kabudi, alisema kifo cha Profesa Mwaikusa siyo tuu pigo kwa chuo hicho bali tasinia nzima ya sheria na taifa kwa ujumla.
Kwa mujibu wa Profesa Kabudi, mpaka wakati kifo kinamkuta Profesa Mwaikusa alikuwa, Profesa Mshiriki katika idara ya Sheria za Umma (public law).
Alisema Profesa Mwaikusa alizaliwa Julai 21 mwaka 1952, na kuwa aliajiriwa kama mhadhiri msaidizi na chuo hicho mwaka 1986. Alisomea sekondari ya Mirambo, Tabora.

MKUTANO mkuu wa chama cha wananchi cuf wilaya ya Morogoro mjini umemchagua Hajira Silya kuwa mgombea ubunge viti maalum kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Milipuko miwili iliyotokea jijini Kampala imeua watu wanaokadiriwa kuzidi 64, mmoja wao akiwa mmarekani wakati wakiangalia fainali za kombe la dunia.
Dr Ghalib Bilal mgombea mwenza wa JK ambaye kutangazwa kwake kumeua mzizi wa fitna kwa wanaCCM waliodai kupigia kura upinzani baada ya kumwagwa kwake kugombea ZNZ.
Wajumbe wakipanjuka kwa furaha baada ya kutangazwa na JK
Pamoja na kupanick baada ya kutoswa lakini alikuwa shwari kuliko washabiki zake, kweli subira huvuta kheri.
Mwenyekiti wa CCM, JK akiwa na Makamu wake Amani wakitoka ukumbini kwajili ya kikao kifupi kabla ya klumtangaza Bilal kuwa Mgombea mwenza.
BAADA ya kuangushwa mara tatu katika mbio za kuwania urais wa Zanzibar, nyota na nguvu za kisiasa za Dk Mohamed Gharib Bilal zilizidi kujidhirisha baada ya kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete kwenye mbio za urais wa Muungano katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 31.
Uteuzi huo wa Dk Bilal, ambao ulitangazwa kwenye mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Kizota mjini Dodoma, umefanywa katika kipindi ambacho joto la kisiasa ndani ya CCM lilikuwa limepanda baada ya halmashauri kuu ya chama hicho kumtupa msomi huo kwa mara ya tatu kwenye mbio za urais.
"La mwisho kabla ya mwisho," alisema Kikwete na kuacha muda kidogo akisikiliza majibu yan wanachama ambao walipiga kelele kutaka kutangaziwa jina la mgombea mwenza atangazwe baada ya kusubiri kwa muda mrefu.
"La mwisho kabla ya mwisho, nimemteua Dk Bilal kuwa mgombea mwenza."
Mara baada ya tamko hilo ukumbi mzima ulilipuka kelele za nderemo na vifijo, miruzi na maturumbeta mithili ya mavuvuzela huku Bilal akikumbatiwa na watu tofauti wakati akianza kuelekea kwenye meza kuu.
Wakati Bilal akipongezwa, kikundi cha muziki cha CCM, ToT Plus kilianza kutumbuiza huku Rais Kikwete akicheza muziki na uso wake ukiwa umepambwa kwa tabasamu kuonyesha kufurahishwa na kelele za wajumbe ambazo zilionyesha kukubali uteuzi huo.
Bilal alikwenda moja kwa moja kwenye meza kuu na kuwashika mikono viongozi wote, akimkumbatia Rais Kikwete na baadaye kwenda kwenye jukwaa lililokuwa likitumiwa kutoa hotuba kwa ajili ya kutoa shukrani. Hata hivyo, wajumbe waliendelea kujimwaga ukumbini kushangilia wakicheza muziki wa ToT.
Lakini wakati Dk Bilal akiendelea kusubiri wajumbe watulie ili azungumze, afisa mmoja alimwendea na kumnongeza jambo na ndipo waziri kiongozi huyo wa zamani wa Zanzibar alipoondoka na kurudi kwenye kiti chake.
Kabla ya kumtangaza Dk Bilal, Kikwete aliomba mkutano uende mapumziko kwa dakika 15 ili akutane na wajumbe wa kamati kuu, lakini kikao hicho kilichukua takriban nusu saa na aliporejea alianza na hotuba ndefu ya kueleza mafanikio na matatizo ambayo serikali ya awamu ya nne ilikutana nayo tangu mwaka 2006.
Awali majina mbalimbali yalikuwa yakihusishwa na nafasi hiyo, ikiwa ni pamoja na Waziri Kiongozi Shamsi Vuai Nahodha, waziri wa zamani wa fedha, Zakia Meghji, na Waziri wa Nchi, Mohamad Seif Khatibu ambaye ni Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais -Muungano kabla ya kitendawili hicho kuteguliwa saa 3:30 usiku.
AKASÚMO KA BANDU ABAKINDA NDAGILO
Aaaliko umúndu jumo. Ingamú jake Nísíleítolo. Nísíleítolo ali múndu mwegí. Unkasí ingamú jake alijo Balekebajobege. Bo babilli batugalaga palakubo ulunywamú fíjo, baaja bene ítolo. Nísíleítolo atugeele nunkasí kubusiku ubutalí kisíta kuja nu mwana.
Boosa pamopeene na ju unkasí balinkuja bandu balusulumanio fíjo ukukongana nukusíta kukabamo umwana najumo nkatí mbumí bwabo. Nísíleítolo alinkuja múndu gwa kumbuula unkasí ukuti bagelepo ukubeeta ukukongana ni mbapo jabo.
Boosa bo babili balinkuja bandu bakubuuka mbuganga. Bo bunobuno balinkwenda balinkwenda baja kufíka kukisu kimo baja kufíkíla pa kyamení.
Balinkundaluusya kyamení balinkuti: "Unganga gwa kititu alikugu?" Kyamení alikubanangisya kuno unganga aalíko. Boosa pamopeene balinkubuka kukaja ka nganga ujo.
Unganga ujo ingamú jake jo Kikakíle. Kikakíle ali nganga nnúnú fíjo panandi mma nkisu kila. Nísíleítolo alinkujoba syosa isí síntwele kula kunganga. Unganga Kikakíle alinkuja múndu gwa kubalondela unkota.
Bagoníle pakaja pa nganga bo bikunwa unkota kubusiku butatu. Unganga aabapeele indagilo si nyingi fíjo. Ababulíle atíle: -Linga unkííkulu ali nu lwanda somma ukulya amafúmbi, ulukuma ni iswi imbelele.
Kangi linga umwana ateeíigwe somma ukunnangisya nkyení mbandu. -Gwe nkíkulu gunjabilege undumego ikijabo ikinywamú fíjo. Po papo balinkwepukapo pakaja panganga nu kubuka kumyabo.
Bo bafíkíle kumyabo balinkukumbuka indagilo isya nganga nu kusíbomba syoosa kisíta kusobapo mpaka unkasí akabíle ulwanda nu kuteela umwana undumyana. Balinkuja bandu balusekeko ulunywamú fíjo kangi balinkwenda nu kwibwa indagilo syosa isya nganga.
Bakumbwikepo nandi ítolo syene isya kusíta kulya amafúmbi. Umwana akulilepo mpaka afíkíle ukwafula. Kunongwa jalusekelo ulu baali nalo balibwibwe syosa, balinkukinda indagilo syosa isya jula unganga.
Balinkuketesya umwana nkyení mbandu. Ukukonganga ni ndagilo sya nganga Kikakíle ukuti basílamisye. Umwana akeendaga, ifyinja fílinkukinda ifyinja ntandatu kupala nu kujoba kangi nukwenda.
Po balyandíle ulusulumanio ulunywamu fíjo. Po balinkunyomoka nu kubuka kunganga Kikakíle kangi. Unganga kikakíle ababulíle atíle: "Mwilamwisye indagilo syangu. Umwaninu akabagila ukwenda kangi atikwísa kujoba siku.
Kangi lolí mgomokege kukaja kinu une ne mma ukubambulukisya umwaninu papo munyílemwe fíjo. Po papo Nísileítolo alinkugomoka ukubuka kukaja kake na junkasí. Umwanabo kubusiku ubupímba ítolo alinkufwa.
Balinkulila fíjo kunongwa ja kusyila umwanabo jumojwene ntiga. Balinkugona fífyinja ifíngí kisíta kuja nu mwana kangi. Syo síísi mpaka lilino abakíkulu bingi abakinyakyusa basikulya amafumbi linga balininyanda. Kangi bikubajabila abalume baabo ifíjabo ifínywamú, kunongwa ijo ija ndagilo sya baganga.









KESI ya kutumia madaraka vibaya na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh 11 bilioni inayowakabili mawaziri wa zamani, Basil Mramba, Daniel Yona na Katibu Mkuu mstaafu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, Gray Mgonja, itaendelea kunguruma tena mfululizo kuanzia Machi 8 hadi 9, mwaka huu.
Beauty of Mathematics! !!!!!!
1 x 8 + 1= 9
12 x 8 + 2= 98
123 x 8 + 3= 987
1234 x 8 + 4= 9876
12345 x 8 + 5= 98765
123456 x 8 + 6= 987654
1234567 x 8 + 7= 9876543
12345678 x 8 + 8= 98765432
123456789 x 8 + 9= 987654321
1 x 9 + 2 = 11
12 x 9 + 3 = 111
123 x 9 + 4 = 1111
1234 x 9 + 5 = 11111
12345 x 9 + 6 = 111111
123456 x 9 + 7 = 1111111
1234567 x 9 + 8 = 11111111
12345678 x 9 + 9 = 111111111
123456789 x 9 +10= 1111111111
9 x 9 + 7 = 88
98 x 9 + 6 = 888
987 x 9 + 5 = 8888
9876 x 9 + 4 = 88888
98765 x 9 + 3 = 888888
987654 x 9 + 2 = 8888888
9876543 x 9 + 1 = 88888888
98765432 x 9 + 0 = 888888888
Brilliant, isn't it?
And look at this symmetry:
1 x 1 = 1
11 x 11 = 121
111 x 111 = 12321
1111 x 1111 = 1234321
11111 x 11111 = 123454321
111111 x 111111 = 12345654321
1111111 x 1111111 = 1234567654321
11111111 x 11111111 = 123456787654321
111111111 x 111111111 = 12345678987654321
Mind Boggling...
Now, take a look at this...
101%
From a strictly mathematical viewpoint:
What Equals 100%?
What does it mean to give MORE than 100%?
Ever wonder about those people who say they
are giving more than 100%?
We have all been in situations where someone wants you to
GIVE OVER 100%...
How about ACHIEVING 101%?
What equals 100%in life?
Here's a little mathematical formula that might help
answer these questions:
If:
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Is represented as:
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26.
Then:
H-A-R-D-W-O- R- K
8+1+18+4+23+ 15+18+11 = 98%
And:
K-N-O-W-L-E- D-G-E
11+14+15+23+ 12+5+4+7+ 5 = 96%
But:
A-T-T-I-T-U- D-E
1+20+20+9+20+ 21+4+5 = 100%
THEN, look how far the love of God will take you:
L-O-V-E-O-F- G-O-D
12+15+22+5+15+ 6+7+15+4 = 101%
Therefore, one can conclude with mathematical certainty that:
While Hard Work and Knowledge will get you close, and Attitude will get you there, It's the Love of God that will put you over the top!

1 . If time doesn't wait for you, don't worry! Just remove the damn battery from the clock and Enjoy life!